Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

MAFUNZO YA MFUMO WA M-KILIMO

Ismail Mduda

15th October, 2021 11:12
MAFUNZO YA MFUMO WA M-KILIMO

Mafunzo yalifanyika katika ukumbi wa WEO-Nyakato Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza.

Mafunzo haya yaliendeshwa na mwezeshaji toka ofisi za kilimo Mkoa wa Mwanza ndugu, ambapo maafisa ugani 30 wa kilimo toka Manispaa ya Ilemela waliwezeshwa na kujengewa uwezo juu ya utendaji kazi wa Mfumo wa M-Kilimo.


Mirejesho