Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Kilimo

Tafuta
Placeholder
WAZIRI HASUNGA ARIDHIA OMBI LA KUWAPATIA ARDHI VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO NCHINI ISRAEL

Imewekwa 3rd September, 2019 07:13

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na vijana watanzania waliohitimu mahafali ya mafunzo ya Kilimo ya Agro Studies yaliyofanyika jijini Jerusalem nchini Israel, leo…

Placeholder
SERIKALI INA NIA THABITI KUSHIRIKIANA NA WADAU WA TASNIA YA NAFAKA KUKOMESHA CHANGAMOTO-WAZIRI HASUNGA

Imewekwa 3rd September, 2019 07:53

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam

Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi madhubuti wa Mhe Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…

Placeholder
SIMIYU YAANDAA MKAKATI MAALUM WA MIAKA MITANO WA MAPINDUZI YA KILIMO CHA PAMBA

Imewekwa 3rd September, 2019 07:56

Na Stella Kalinga, Simiyu RS

Katika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa soko la pamba mkoa wa Simiyu umeandaa mkakati maalum wa miaka mitano (2019-2024) wa mapinduzi ya kilimo cha zao…

Placeholder
Vijana waanzisha umoja

Imewekwa 4th June, 2021 14:20

Lengo la umojà huo ni kushirikiana katika kazi mbali mbali hasa kilimo kwa ajili ya kujiongezea kipato na kujikwamua kimaisha

Placeholder
MAFUNZO YA MFUMO WA M-KILIMO

Imewekwa 15th October, 2021 11:12

Mafunzo yalifanyika katika ukumbi wa WEO-Nyakato Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza.

Mafunzo haya yaliendeshwa na mwezeshaji toka ofisi za kilimo Mkoa wa Mwanza ndugu, ambapo maafisa ugani 30 wa kilimo toka…